Ofisa wa Polisi mwingine auawa Kinyere

Seebait.com 2017SeeBait

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Salum Hamduni 
 **
Ofisa wa Polisi ameuawa usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kinyerezi Kanga wilayani Ilala.
 
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Salum Hamduni zinasema aliuawa nyumbani kwake. Hata hivyo hakumtaja jina lake.
 
Taarifa zaidi zimesema ofisa huyo wa Polisi alikuwa akifanya kazi wilaya ya Kibaha na alikuwa amehamishiwa mkoa wa Kigoma hivi karibuni.
 
Kamanda Hamduni amesema taarifa zaidi kuhusu polisi huyo zitatolewa baadaye.
 
“Ni kweli kuna ofisa wa Polisi ameuawa niko eneo la tukio naomba mniache nifanye kazi tutawapa taarifa baadaye,” alisema.
Ofisa wa Polisi mwingine auawa Kinyere Ofisa wa Polisi mwingine auawa Kinyere Reviewed by RICH VOICE on Mei 16, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...