Dari la jengo la soko la hisa laanguka Jakarta

An ambulance arrives at the Indonesian Stock Exchange building following reports of a collapsed structure inside the building in Jakarta

Dari la jengo la jengo liliko soko la hisa mjini Jakarta limeanguka na kuna ripoti za majeruhi kadhaa.

Picha zinazosambaa mitandaoni zinaonyesha vipande vya dari hilo, viti vilivyovunjika na vumbi.
Hadi watu 15 wamepatikana wamejeruhiwa kwa mujibu wa msemaji wa polisi mjini Jakarta, Argo Yuwono.
Watu kadha walionekana wamebewa kutoka kwa jengo hilo.
Bw. Argo alisema kuwa baadhi ya watu waliojeruhiwa mikono na miguu wamepelekewa kwenye hospitali zilizo karibu.
Polis wanachungazu kile kilichosababisha kuanguka kwa dari hilo.
Hata hivyo hadi sasa hakujakuwa naripoti zozote za vifo.
Injured people are treated outside the Indonesian Stock Exchange building

Dari la jengo la soko la hisa laanguka Jakarta Dari la jengo la soko la hisa laanguka Jakarta Reviewed by RICH VOICE on Januari 15, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...