CCM Yatoa Mil. 10 Kwa Ajili Ya Kusaidia Wahanga Wa Ajali Ya Mv Nyerere


CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetoa kiasi cha Sh. 10 milioni kwa ajili ya kusaidia wahanga wa ajali ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Septemba 2018.

Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi, Isaack Kamwele na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole.

Makabidhiano hayo yalifanyika  katika kijiji cha Bwisya kisiwani Ukara, Septemba 24, 2018 na kushuhudiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
CCM Yatoa Mil. 10 Kwa Ajili Ya Kusaidia Wahanga Wa Ajali Ya Mv Nyerere CCM Yatoa Mil. 10 Kwa Ajili Ya Kusaidia Wahanga Wa Ajali Ya Mv Nyerere Reviewed by RICH VOICE on Septemba 24, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...