Papa Fransisco Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Ajali ya MV Nyerere

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani  baba mtakatifu Papa Fransisco ametuma salamu za Rambirambi kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere.

Katika salamu zake kupitia kwa Balozi wake nchini baba mtakatafu amewapata pole wote walioko katika majonzi na kuwapa moyo wote wanaotafuta ndugu ambao hawajaonekana

Amemuomba Mungu awajalie baraka, nguvu na faraja wote walioguswa na msiba huo
Papa Fransisco Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Ajali ya MV Nyerere Papa Fransisco Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Ajali ya MV Nyerere Reviewed by RICH VOICE on Septemba 22, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...