Mbunge wa Babati Mjini kwa kupitia Chadema Pauline Gekul, ajiuzulu na Kujiunga CCM


Mbunge wa Babati Mjini (Chadema), Pauline Gekul ametangaza kujiuzulu wadhifa huo na kujiunga na CCM.

Barua inayosambaa  mitandaoni kuanzia  saa 4.20 usiku wa kuamkia leo ikionyesha kwenda kwa Spika wa Bunge Job Ndugai ikiwa imesainiwa na Gekul anasema amejiuzulu uanachama na ubunge wake.

Miongoni mwa sababu za uamuzi huo ni baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuhujumu kwa makusudi jitihada zake za kupelekea wananchi maendeleo.

Mbunge wa Babati Mjini kwa kupitia Chadema Pauline Gekul, ajiuzulu na Kujiunga CCM Mbunge wa Babati Mjini kwa kupitia Chadema Pauline Gekul, ajiuzulu na Kujiunga CCM Reviewed by RICH VOICE on Oktoba 14, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...