TEF yalaani Manara kumdhalilisha mwandishi wa habari

 Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani kitendo cha Msemaji wa Simba SC, Haji Manara kumdhalilisha mwandishi wa habari wa Clouds FM, Prisca Kishamba wakati wa mkutano na waandishi wa habari. TEF imeutaka uongozi wa Simba kumwonya Manara kwa madai tabia hiyo imekuwa ikirudia.






TEF yalaani Manara kumdhalilisha mwandishi wa habari TEF yalaani Manara kumdhalilisha mwandishi wa habari Reviewed by RICH VOICE on Julai 03, 2021 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...