TOP STORIES“Kumchamba mtu mtandaoni ni kosa Kisheria” Waziri Ndugulile


 Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewataka watu kutumia Mitandao ya Kijamii vizuri na kuepuka makosa ya mtandaoni.

Dk. Ngugulile ameyasema hayo  jijini Dodoma  katika uzinduzi wa tovuti ya wizara hiyo pamoja na mpango mkakati wa 2021/26.

Waziri amebainisha kuwa ukatumia ukurasa wa Instagram kumsema mtu vibaya ‘kumchamba’ ni kosa kisheria au kumkashifu mtu mtandaoni ni kosa hata kama mtu atatumia jina lisilo halisi katika TEHAMA akitenda uhalifu atabainika na kuchukuliwa hatua.

TOP STORIES“Kumchamba mtu mtandaoni ni kosa Kisheria” Waziri Ndugulile TOP STORIES“Kumchamba mtu mtandaoni ni kosa Kisheria” Waziri Ndugulile Reviewed by RICH VOICE on Julai 03, 2021 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...