MASHABIKI BARCELONA WAMWAGIKA MITAANI KUSHANGILIA LA LIGA YA 25


Basi la wachezaji wa Barcelona likipita katikati ya mashabiki mitaa ya Barcelona jana baada ya ushindi wa taji la 25 la La Liga kufuatia kuichapa mabao 4-2 Deportivo La Coruna juzi na kujibebea taji la pili Hispania msimu huu kufuatia awali kunyakua Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey
MASHABIKI BARCELONA WAMWAGIKA MITAANI KUSHANGILIA LA LIGA YA 25 MASHABIKI BARCELONA WAMWAGIKA MITAANI KUSHANGILIA LA LIGA YA 25 Reviewed by RICH VOICE on Mei 01, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...