MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WATUMISHI WA IDARA YA MUUNGANO


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Watumishi Idara ya Muungano na Utawala kwenye siku yake ya tatu ya hitimisho la kikao Kazi katika Taasisi zilizo Chini ya Ofisi yake kilichofanyika leo Disemba 12, 2020  Jijini Dodoma. kushoto ni Naibu  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mwita Waitara

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WATUMISHI WA IDARA YA MUUNGANO MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WATUMISHI WA IDARA YA MUUNGANO Reviewed by RICH VOICE on Desemba 12, 2020 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...