Marekani yaidhinisha matumizi ya dharura ya chanjo ya Pfizer

 


Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA) imeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya Corona Virus kutoka Pfizer na BioNTech.

Rais Donald Trump amedai chanjo za kwanza zitatolewa chini ya saa 24. Watu zaidi ya 292,000 wamefariki dunia kutokana na COVID19 Marekani.

Chanjo hiyo imeidhinishwa katika mataifa mbalimbali yakiwemo Uingereza, Saudi Arabia, Bahrain na Canada.

Marekani yaidhinisha matumizi ya dharura ya chanjo ya Pfizer Marekani yaidhinisha matumizi ya dharura ya chanjo ya Pfizer Reviewed by RICH VOICE on Desemba 12, 2020 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...