Kada wa UVCCM Aliyejifanya Usalama wa Taifa Kaachiwa Huru Tena


Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai ole Sabaya ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kughushi na kutumia kitambulisho cha Usalama wa Taifa.

Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa Jamhuri kusema kuwa haina sababu ya kuendelea na kesi hiyo
 
Hii ni mara ya nne shauri hilo linafikishwa Mahakamani lakini linaondolewa kwa sababu ya  Jamhuri kutotaka kuendelea nayo.
Kada wa UVCCM Aliyejifanya Usalama wa Taifa Kaachiwa Huru Tena Kada wa UVCCM Aliyejifanya Usalama wa Taifa Kaachiwa Huru Tena Reviewed by RICH VOICE on Agosti 30, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...