LUIS NANI AWASILI ROME KUKAMILISHA UHAMISHO WA KUTUA LAZIO


Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Luis Nani, amewasili Jijini Rome nchini Italia kukamilisha uhamisho wa kutua Lazio akitokea Valencia.

Nani mwenye umri wa miaka miaka 30 ameonekana katika uwanja wa ndege wa Roma, akiwa na skafu ya klabu ya Lazio kukamilisha uhamisho wake.

Chombo cha Sky Italia kimesema Lazio italipa kitita cha paundi milioni 7.3 ambacho ni cha mkopo, na kuweza kumtwaa kabisa kwa kumnunua.

LUIS NANI AWASILI ROME KUKAMILISHA UHAMISHO WA KUTUA LAZIO LUIS NANI AWASILI ROME KUKAMILISHA UHAMISHO WA KUTUA LAZIO Reviewed by RICH VOICE on Agosti 31, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...