LIVERPOOL YAWAZIDI MAARIFA CHELSEA KWA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN


Mchezaji Alex Oxlade-Chamberlain amefanyiwa vipimo vya afya akiwa katika kambi ya Uingereza jana na atajiunga na Liverpool kwa ada ya paundi milioni 35 hii leo.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amewazidi maarifa Chelsea na kumnasa mchezaji huyo wa Arsenal ikiwa ni wiki moja tangu Chelsea kufanya makubaliano na mchezaji huyo.
        Alex Oxlade-Chamberlain akiwa mazoezini katika kambi ya timu ya taifa ya Uingereza
LIVERPOOL YAWAZIDI MAARIFA CHELSEA KWA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN LIVERPOOL YAWAZIDI MAARIFA CHELSEA KWA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN Reviewed by RICH VOICE on Agosti 31, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...