Mbunge Esther Bulaya Atiwa Mbaroni


Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Esther Bulaya amekamatwa na jeshi la Polisi akiwa katika Hotel ya Kifa Best Point Wilayani Tarime akidaiwa kujiandaa kutaka kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.

Kamanda wa polisi Tarime/Rorya Kamishina Msaidizi Mwandamizi Henry Mwaibambe amesema wabunge  Bulaya na John Heche hawatakiwi kujumuika kwenye mkutano wa mbunge wa jimbo ka Tarime.
Mbunge Esther Bulaya Atiwa Mbaroni Mbunge Esther Bulaya Atiwa Mbaroni Reviewed by RICH VOICE on Agosti 20, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...