RIYAD MAHREZ AONDOKA KAMBINI ALGERIA KUKIMBILI KUWAHI UHAMISHO


Riyad Mahrez anaweza kuhama katika dakika za mwisho baada ya mchezaji huyo wa Leicester City, kuruhusiwa kuondoka kambini Algeria ili kukamilisha uhamisho wake.

Timu ya taifa ya Algeria imebainisha taarifa hizo kupitia akaunti ya tiwtta mapema leo asubuhi huku muda wa usajili ukikaribia ukingoni hii leo.

Mahrez, anayeuzwa kwa ada ya paundi milioni 50, yupo na timu yake ya taifa na anahusishwa kuwaniwa na Arsenal, Roma pamoja na Bracelona.
RIYAD MAHREZ AONDOKA KAMBINI ALGERIA KUKIMBILI KUWAHI UHAMISHO RIYAD MAHREZ AONDOKA KAMBINI ALGERIA KUKIMBILI KUWAHI UHAMISHO Reviewed by RICH VOICE on Agosti 31, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...