GUARDIOLA AENDESHA MJADALA MZITO KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL KESHO


Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akijadiliana na wasaidizi wake wakati wa mazoezi ya leo jioni kujiandaa na mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Liverpool Uwanja wa Etihad wakihitaji ushindi wa 4-0 kusonga mbele kufuatia kufungwa 3-0 kwenye mechi ya kwanza Uwanja wa Anfield wiki iliyopita
GUARDIOLA AENDESHA MJADALA MZITO KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL KESHO GUARDIOLA AENDESHA MJADALA MZITO KUELEKEA MECHI NA LIVERPOOL KESHO Reviewed by RICH VOICE on Aprili 09, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...