RONALDO AFUNGA BAO ZURI, LAKINI GRIEZMANN AWACHOMOLEA


Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kuongoza Real Madrid dakika ya 53 katika sare ya 1-1 na Atletico Madrid kwenye mchezo wa La Liga leo Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao la Atletico limefungwa na Antoine Griezmann dakika ya 57

RONALDO AFUNGA BAO ZURI, LAKINI GRIEZMANN AWACHOMOLEA RONALDO AFUNGA BAO ZURI, LAKINI GRIEZMANN AWACHOMOLEA Reviewed by RICH VOICE on Aprili 09, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...