Harmonize na mpenzi wake Sarah waenda vekesheni Serengeti, mapokezi yao ni moto



Harmonize na mpenzi wake Sarah wameamua kwenda kupumzika kwa muda kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti.

Wawili hao wamelazimika kusimamisha ratiba zao zote na kuamua kwenda kujionea maajabu kwenye mbuga hiyo maarufu duniani iliyopo wilayani Serengeti, mkoani Mara na wameonekana kupokelewa kwa shangwe kubwa.



Harmonize na mpenzi wake Sarah waenda vekesheni Serengeti, mapokezi yao ni moto Harmonize na mpenzi wake Sarah waenda vekesheni Serengeti, mapokezi yao ni moto Reviewed by RICH VOICE on Aprili 04, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...