mpinzani mwingine wa Anthony Joshua huyu hapa

Mara baada ya Anthony Joshua kutwaa ubingwa dhidi ya Joseph Parker Jumamosi ya wiki iliyopita, bondia wa uzito wa juu nchini Marekani, Deontay Wilder amesema kuwa yupo tayari kupambana na Muingereza huyo.

Bondia wa uzito wa juu nchini Marekani, Deontay Wilder
Bingwa huyo wa WBC, Wilder ameingia ulingoni mara 40 huku akishinda mapambano yote na 39 kwa njia ya ‘knocked out’ (KO).

Bondia, Anthony Joshua (kushoto) na Deontay Wilder (kulia)
Anthony Joshua amchakaza Parker bila huruma (+picha)
Anthony Joshua ametwaa mikanda ya IBF na WBA huku akiuchukua mwingine wa WBO dhidi ya Joseph Parker na hivyo kumfanya kusalia na mkanda mmoja pekee ambao hajauchukua ambao ndiyo huo wa WBC unaoshikiliwa na Wilder.

Bondia wa uzito wa juu nchini Marekani, Deontay Wilder

mpinzani mwingine wa Anthony Joshua huyu hapa mpinzani mwingine wa Anthony Joshua huyu hapa Reviewed by RICH VOICE on Aprili 04, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...