UBELGIJI NOMA, YAIFUMUA GIBRALTAR 9-0, LUKAKU APIGA TATU

Mashujaa wa hat-trick, Romelu Lukaku na Thomas Meunier wakipongezana baada ya kazi nzuri kwenye ushindi wa 9-0 wa Ubelgiji dhidi ya Gibraltar usiku wa jana katika mchezo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Maurice Dufrasne mjini Liege, Ubelgiji. Lukaku alifunga dakika za 21, 38 na 84 kwa penalti, wakati na Meunier alifunga dakika za 18, 60 na 67 wakati mabao mengine ya Ubelgiji yamefungwa na Deren Ibrahim aliyejifunga dakika ya 15, Axel Witsel dakika ya 27 na Eden Hazard dakika ya 45.
UBELGIJI NOMA, YAIFUMUA GIBRALTAR 9-0, LUKAKU APIGA TATU UBELGIJI NOMA, YAIFUMUA GIBRALTAR 9-0, LUKAKU APIGA TATU Reviewed by RICH VOICE on Septemba 01, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...