Nyalandu aomba kumsafirisha Tundu Lissu Marekani kwa Matibabu Zaidi


Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameweka kambi nchini Kenya kuangalia uwezokano wa kupata ruhusa kutoka kwa madaktari ya kumsafirisha Mh Tundu Lissu kwenda Marekani kwaajili ya matibabu zaidi baada kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana.

Nyalandu amedai ni siku ya tatu bado hajapata ripoti inayoonyesha maendeleo ya mgonjwa huyo ili waangalie kama wanaweza kwenda nchini Marekani kwaajili ya matibabu zaidi.

==> Hii  ni Taarifa ya Mh Nyalandu 
Nyalandu aomba kumsafirisha Tundu Lissu Marekani kwa Matibabu Zaidi Nyalandu aomba kumsafirisha Tundu Lissu Marekani kwa Matibabu Zaidi Reviewed by RICH VOICE on Septemba 20, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...