Spika Ndugai Awataka Wabunge Watoe Nusu ya Posho zao Kuchangia Matibabu ya Tundu Lissu

Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaomba wabunge watoe nusu ya posho zao kwa siku kuchangia gharama za matibabu ya Tundu Lissu.

Ndugai amesema leo  bungeni kuwa gari ya Tundu Lissu ilipigwa jumla ya risasi 28 hadi 32,lakini zilizompata Tundu Lissu ni tano ambapo zilimjeruhi tumboni na mguuni.
Lissu aliondolewa Hospitali ya General Dodoma  Usiku wa kuamkia leo na kupelekwa nchini Kenya  kwa Matibabu zaidi
Spika Ndugai Awataka Wabunge Watoe Nusu ya Posho zao Kuchangia Matibabu ya Tundu Lissu  Spika Ndugai Awataka Wabunge Watoe Nusu ya Posho zao Kuchangia Matibabu ya Tundu Lissu Reviewed by RICH VOICE on Septemba 08, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...