MCHUNGUZI WA MATUKIO YA UJANGILI AUWAWA NCHINI KENYA



Mmoja wa wachunguzi mahiri wa matukio ujangili Esmond Bradley Martin amekutwa akiwa amekufa nyumbani kwake eneo la Karen Jijini Nairobi nchini Kenya.



Esmond ambaye ametumia miongo kadhaa kuongea na wafanyabiashara, wasafirishaji kwa magedo nyara za serikali katika kuchunguza njia za magendo duniani amekufa katika mazingira ya kutatanisha.



Mjumbe huyo wa Umoja wa Mataifa wa kuwalinda Faru amekutwa akiwa na majeraha ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali shingo.



Edmond mwenye miaka 75, amekuwa mstari wa mbele kupigana na ujangili, na kuandika chunguzi nyingi za taarifa ya magendo ya faru na tembo nchini Kenya na biashara yake katika nchi za Asia.
MCHUNGUZI WA MATUKIO YA UJANGILI AUWAWA NCHINI KENYA MCHUNGUZI WA MATUKIO YA UJANGILI AUWAWA NCHINI KENYA Reviewed by RICH VOICE on Februari 06, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...