WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AJIUZULU
Taarifa
zilizotangazwa na kituo cha televiseheni cha taifa hilo zimesema kuwa
Waziri Mkuu huyo pia amewasilisha barua yake ya kujiuzulu Uenyekiti wa
chama chake cha Ethiopia People's Demecratic front.
Pamoja na
kwamba hakuna sababu rasmi zilizotolewa za kujiuzulu kwa Desalegn,
habari za uhakika zinasema kuwa uhenda ni kufuatia kuepusha mgogoro wa
kisiasa zaidi nchini humo ambapo kumekuwa na maandamano dhidi ya
serikali katika maeneo yenye makabila makubwa nchini humo ya Oromia na
Amhara.
Watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika maandamano ya upinzani.
Hailemariam Desalegn aliingia madarakani Agosti 2012, baada ya kufariki kwa kiongozi shupavu Meles Zenawi.
Watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika maandamano ya upinzani.
Hailemariam Desalegn aliingia madarakani Agosti 2012, baada ya kufariki kwa kiongozi shupavu Meles Zenawi.
Uchumi wa Ethiopia umekuwa ukikua kwa kasi, na hatua hii ya Desalegn inatishia mustakabali wa baadaye wa taifa hilo
WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AJIUZULU
Reviewed by RICH VOICE
on
Februari 15, 2018
Rating:
Hakuna maoni