Watu Wametakiwa Kutoogopa Katika Maisha Yao Kwani Mungu Akishabariki Kuinuka Ni Lazima
Ukimwamini Mtumishi Wa Mungu Na Maneno Akutamkiayo Lazima Ufanikiwe Kwa Maana Mungu Ndiye Anamtumia Kuwaepusha Watu Wake Na Maovu Mabaya Ya Shetani
Hiyo Ni Moja
Ya Kauli Katika Mahubiri Ya Mchungaji
Paul Mkumbo Alipokuwa Akifundisha Kwa Siku Ya Leo Ambapo Aliweza Kuhubiri Somo
Lenye Kichwa Kisemacho "Amini" Huku Amiongeza Kuwa " Amini Tuuu
Muujiza Wako Upo Mbele Ya Maisha
Yako."Amesema Mkumbo.
mtumishi mwanafunzi wa huduma ya ngurumo ya upako bib Liberata Daniel
Kwa Upande
Wake Mtumishi Mwanafunzi Bib Liberata Melchiades Amefundisha Somo Lililokuwa Na
Kichwa Kisemacho Bwana Amekutazama Na Kusema Kuwa Mungu Humuinua Mtumishi Wake Ili Wengine Wainuke Na Kuwa Juu Katika Maeneo Mbalimbali Maishani .
katika ibada
hiyo watu ,mbalimbali waliweza kuhudhuria kama unavyoowaona baadhi ya watu hapo
chini katika picha
Baadhi ya watu waliohudhuria ibada chuo cha manabii kwa siku ya leo
Ibada Za
Chuo Cha Manabii Ndani Ya Huduma Ya Ngurumo Ya Upako Huwa Ni Kila Siku Za
Jumanne Na Alhamisi Huku Kwa Siku Ya Jumapili Huwa Ni Ibada Ya Chuo Kikuu Cha
Manabii Au Ibada Ya Jiji .
Watu Wametakiwa Kutoogopa Katika Maisha Yao Kwani Mungu Akishabariki Kuinuka Ni Lazima
Reviewed by RICH VOICE
on
Februari 06, 2018
Rating:
Hakuna maoni