KLOPP AJIGAMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA


Kocha Jurgen Klopp amesema Liverpool inastahili kuwa katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kutoa sare ya 0-0 dhidi ya Porto, na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa magoli 5-0.

Hii ni mara ya kwanza tangu mwaka 2009 kwa Liverpool kutinga hatua hiyo, lakini kocha Klopp amesisitiza kuwa hili si suala la miujiza mikubwa.

Timu ya Liverpool ilishinda magoli 5-0 nchini Ureno katika mchezo wa awali na kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga katika mchezo wa jana nyumbani Anfield.
                        Kipa wa Liverpool Loris Karius akidaka mpira uliopigwa na Majeed Waris
   Mohamed Salah akisikitika baada ya mpira aliopiga kuzuiliwa na kipa Iker Casillas
KLOPP AJIGAMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KLOPP AJIGAMBA KUTINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA Reviewed by RICH VOICE on Machi 07, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...