MWANASAYANSI MAARUFU PROFESA STEPHEN HAWAKING AFARIKI DUNIA


Mwanasayansi maarufu duniani bingwa Fizikia Profesa Stephen Hawaking amefariki dunia mapema leo akiwa na umri wa miaka 76.

Familia ya Hawaking ambaye alikuwa ni mtu mwenye maono ya hali ya juu, imesema mwanafizikia huyo amefariki akiwa nyumbani kwake Cambridge.

Mwanasayansi huyo Muingereza alijipatia umaarufu duniani pia anafahamika mno kwa vitabu vyake vya sayansi kikiwemo cha A Brief History of Time.

Akiwa na umri wa miaka 22 Profesa Hawking alipewa miaka michache tu ya kuishi baada ya kubainika kuugua ugonjwa adimu wa nyuroni.
MWANASAYANSI MAARUFU PROFESA STEPHEN HAWAKING AFARIKI DUNIA MWANASAYANSI MAARUFU PROFESA STEPHEN HAWAKING AFARIKI DUNIA Reviewed by RICH VOICE on Machi 14, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...