RONALDO ATUPIA TENA REAL IKITINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA


Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Real Madrid wametinga katika hatua ya robo fainali wakiifunga Paris St-Germain kwa magoli 2-1 katika dimba la Parc des Princes.

Cristiano Ronaldo aliyefunga magoli mawili katika mchezo wa kwanza wakiibuka na ushindi wa magoli 3-1, alifunga goli la mpira wa kichwa kufuatia krosi ya Lucas Vazquez.

PSG ilijikuta kiungo wake Marco Verratti akitolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kucheza rafu kabla ya Edinson Cavani kusawazisha goli, lakini Casemiro akafunga goli la pili.
   Cristiano Ronaldo akiwa ameruka juu na kuupiga mpira kwa kichwa na kufunga goli
                Casemiro akifunga goli la pili la Real Madrid na kufanya matokeo kuwa 2-1
RONALDO ATUPIA TENA REAL IKITINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA RONALDO ATUPIA TENA REAL IKITINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA Reviewed by RICH VOICE on Machi 07, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...