Uwoya Amchimba Mkwara Dogo Janja Aliposikia Anataka Kuoa Mke wa Pili


Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na taarifa kuwa msanii Dogo Janja ana mpango wa kuongeza mke wa pili baada ya kufunga ndoa na muigizaji Irene Uwoya ambapo ndoa hiyo ilifungwa mwaka jana 2017 ingawa mashabiki hadi sasa hawaamini kuhusu ndoa hiyo.

Kupitia mtandao wa instagram wa Irene Uwoya ameonekana kupata taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mume wake Dogo Janja kuwa ana mpango wa kuoa mke wa pili na hivyo kumpa onyo pale atakapothubutu kufanya hivyo.

Uwoya Amchimba Mkwara Dogo Janja Aliposikia Anataka Kuoa Mke wa Pili Uwoya Amchimba Mkwara Dogo Janja Aliposikia Anataka Kuoa Mke wa Pili Reviewed by RICH VOICE on Machi 14, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...