ARSENE WENGER AMWAGIA SIFA KINDA EDWARD NKETIAH


Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amemtabiria makubwa kinda Edward Nketiah baada ya magoli yake mawili kuisaidia kutinga robo fainali ya kombe la Carabao dhidi ya Norwich City.

Nketiah mwenye miaka 18, aliyetokea benchi alitikisa nyavu za goli la Norwich mara mbili baada ya pande la James Maddison kunaswa na Josh Murphy na kuifungia Nowwich goli la kwanza.
        Mshambuliaji kinda Edward Nketiah akiifungia Arsenal goli la kusawazisha
          Edward Nketiah akiruka juu na kufungwa kwa kichwa goli la pili la Arsenal
ARSENE WENGER AMWAGIA SIFA KINDA EDWARD NKETIAH ARSENE WENGER AMWAGIA SIFA KINDA EDWARD NKETIAH Reviewed by RICH VOICE on Oktoba 25, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...