MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA DUNIA WA WANAWAKE KATIKA MASUALA YA BENKI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia wa Wanawake kuhusu masuala ya Benki uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker (kulia) mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Dunia wa Wanawake kuhusu masuala ya Benki uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker (kulia) mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Dunia wa Wanawake kuhusu masuala ya Benki uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA DUNIA WA WANAWAKE KATIKA MASUALA YA BENKI MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA DUNIA WA WANAWAKE KATIKA MASUALA YA BENKI Reviewed by RICH VOICE on Oktoba 24, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...