KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, bungeni mjini Dodoma, Februari 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha bunge mjini Dodoma Februari 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt, Adelardus Kilangi baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha bunge mjini Dodoma Februari 9, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na wapili kulia ni Waziri Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha bunge mjini Dodoma Februari 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO Reviewed by RICH VOICE on Februari 09, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...