MSHAMBULIAJI ROBIN VAN PERSIE AIFUNGIA GOLI FEYENOORD

Mshambuliaji nyota Robin van Persie amefunga goli lake la kwanza tangu arejee Feyenoord wakati wakiibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya FC Groningen.

Van Persie aliyejiunga Januari na klabu yake hiyo aliyoanzia kusakata soka ambayo aliondoka mwaka 2004 kwenda Arsenal na kisha Manchester United, alifunga goli katika dakika ya 78.
Robin van Persie akiachia shuti lililojaa wavuni na kufungua akaunti ya magoli yake akiwa tena na Feyenoord
    Robin van Persie akigawa fulana yake kwa shabiki baada ya kumalizika mchezo

MSHAMBULIAJI ROBIN VAN PERSIE AIFUNGIA GOLI FEYENOORD MSHAMBULIAJI ROBIN VAN PERSIE AIFUNGIA GOLI FEYENOORD Reviewed by RICH VOICE on Februari 09, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...