REAL MADRID MAMBO MAGUMU, YABANWA SARE 2-2 A LEVANTE


Kipa wa Levante, Oier akiokoa mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Ciudad de Valencia timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Nahodha Sergio Ramos dakika ya 11 na Isco dakika ya 81 wakati ya Levante yalifungwa na Emmanuel Boateng dakika ya 42 na Giampaolo Pazzini dakika ya 89
REAL MADRID MAMBO MAGUMU, YABANWA SARE 2-2 A LEVANTE REAL MADRID MAMBO MAGUMU, YABANWA SARE 2-2 A LEVANTE Reviewed by RICH VOICE on Februari 05, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...