WAZIMBABWE WAOMBOLEZA KIFO CHA MORGAN TSVANGIRAI

Wananchi wa Zimbabwe wanaomboleza kifo cha aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na kiongozi wa upinzani wa chama cha siasa cha MDC Bw. Morgan Tsvangirai.

Bw. Tsvangirai alifariki dunia jana huko Johannesburg nchini Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 65 akisumbuliwa na saratani ya utumbo.

Tsvangirai alibainika kusumbuliwa na ugonjwa huo mwaka 2016 na alikuwa akifanyiwa matibabu ya mara kwa mara katika kituo cha matibabu cha Donald Gordon huko Parktown.
WAZIMBABWE WAOMBOLEZA KIFO CHA MORGAN TSVANGIRAI WAZIMBABWE WAOMBOLEZA KIFO CHA MORGAN TSVANGIRAI Reviewed by RICH VOICE on Februari 15, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...