MAJALIWA AZINDUA MADARASA YA KIDATO CHA TANO NA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Dkt. Flavian Kassala baada ya kuweka jiwe la msing la hospitali ya Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vitanda wakati alipokagua Bweni lililopewa jina la Dkt.John Pombe Magufuli katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani Sengerema Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua madarasa ya Kidato cha Tano na Sita katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani Sengerema Februari 15, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, Watatu kushoto ni Waziri wa Kilimo , Dkt. Charles Tizeba na wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, Dkt. Anthony Diallo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua darasa wakati alipozindua madarasa ya Kidato cha Tano na Sita katika Shule ya Secondari ya Nyehunge wilayani Sengerema, Februari 15, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAJALIWA AZINDUA MADARASA YA KIDATO CHA TANO NA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA MAJALIWA AZINDUA MADARASA YA KIDATO CHA TANO NA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA NYEHUNGE WILAYANI SENGEREMA Reviewed by RICH VOICE on Februari 15, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...