MAPICHAPICHA: NEYMAR ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Mchezaji ghali zaidi pale PSG, Neymar jr jana alisherehekea miaka 26 ya kuzaliwa akiwa na wachezaji wenzake wa klabu hiyo jijini Paris Ufaransa. Party hiyo iliwakutanisha nyota kadhaa wakiwemo Angel Dimaria, Marco Verrati, Kylian Mbappe na wapenzi wao.

Kiungo wa Kiitaliano Thiago Mutta akiwasili



Kylian Mbappe akishuka kwenye gari akiwa amebeba zawadi kwa ajili ya Neymar


Thomas Meunier akiwa na mpenzi wake Deborah Panzokou

 Golikipa Kevin Trapp akiwa na mpenzi wake model wa Kibrazil Izabel Goulart

Javier Pastore akiwa amemshika mkono mpenzi wake Chiara Picone

 Marco Verrati akiwa nje ya ukumbi wa sherehe

 Golikipa Mfaransa Alphonse Areola akiwasili na mkewe Marrion
MAPICHAPICHA: NEYMAR ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA MAPICHAPICHA: NEYMAR ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA Reviewed by RICH VOICE on Februari 05, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...