MANE APIGA HAT-TRICK WAKATI LIVERPOOL IKIMPA MKONO MTU

Sadio Mane amefunga magoli matatu yaani hat-trick wakati Liverpool ikipata ushindi mnono katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichakaza FC Porto kwa magoli 5-0 kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania kutinga hatua ya 16 bora.

Mane alikuwa wa kwanza kutikisa nyavu baada ya kipa Jose Sa kushindwa kunyaka mpira wa shuti la Firmino, kisha baadaye Mohamed Salah alionyesha utulivu wake katika ufungaji na kufunga goli la pili. Roberto Firmino alifunga goli la tano.
                        Sadio Mane akifunga goli la kwanza la Liverpool katika mchezo huo
                                Mshambuliaji Mohamed Salah akiifungia Liverpool goli la pili
You might also like:
MANE APIGA HAT-TRICK WAKATI LIVERPOOL IKIMPA MKONO MTU MANE APIGA HAT-TRICK WAKATI LIVERPOOL IKIMPA MKONO MTU Reviewed by RICH VOICE on Februari 15, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...