PIQUE AINUSURU BARCELONA KUCHAPWA NA ESPANYOL, SARE 1-1


Mshambuliaji Luis Suarez akiwa amemrukia mgongoni Gerard Pique kumpongeza beki huyo kwa kufunga bao la kusawazisha dakika ya 82 katika sare ya 1-1 na Espanyol kufuatia Gerard Moreno kuwafungia wenyeji bao la kuongoza dakika ya 66 kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa RCDE mjini Cornella de Llobregat
PIQUE AINUSURU BARCELONA KUCHAPWA NA ESPANYOL, SARE 1-1 PIQUE AINUSURU BARCELONA KUCHAPWA NA ESPANYOL, SARE 1-1 Reviewed by RICH VOICE on Februari 05, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...