SALAH APIGA MBILI SPURS WACHOMOA ZOTE, SARE 2-2 NA LIVERPOOL ANFIELD


Mohamed Salah akiteleza chini kushangilia huku akifuatwa na Alexander-Arnold baada ya kufunga mabao mawili dakika za tatu na ya kwanza ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika za 90 za kawaida katika sare ya 2-2 na Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao ya Spurs ambayo mara zote ilitoka nyuma yamefungwa na kiungo Mkenya, Victor Wanyama dakika ya 80 na Harry Kane kwa penalti dakika ya tano ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida kufuatia beki ghali, Virgin van Dijk kumchezea rafu Erik Lamela.
Awali, Kane alikosa penalti ya utata waliozawadiwa Spurs, baada ya kipa Karius kuokoa
SALAH APIGA MBILI SPURS WACHOMOA ZOTE, SARE 2-2 NA LIVERPOOL ANFIELD SALAH APIGA MBILI SPURS WACHOMOA ZOTE, SARE 2-2 NA LIVERPOOL ANFIELD Reviewed by RICH VOICE on Februari 05, 2018 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...