Mpanda majengo marefu afariki baada ya kuanguka China

Wu Yongning uses a selfie stick to photograph himself reclining on top of a structure far above the surrounding buildings


Haki miliki ya pichaWEIBO
Image captionMpanda majengo marefu afariki baada ya kuanguka China

Mpanda mijengo mirefu ambaye ni maarufu sana nchini China amefariki akionyesha moja ya ujuzi wake hatari.
Wu Yongning alikuwa amejizolea maelfu ya mashabiki kwenye mtandao ya kijamii wa Weibo, kutokana na video zake fupi za kutisha akiwa juu ya majengo marefu bila ya kuchukua tahadhari zozote za kiusalama.
Wasi wasi uliwaingia mashabiki wake wakati aliacha kuchapisha video zake mwezi Novemba.
Sasa imeibuka kuwa alikufa baada ya kuanguka kutoka jumba la ghorofa 62 kwenye mji wa Changsha.
Vyombo vya habari nchini China vinasema kuwa alikuwa akishiriki kwenye mchezo wa kushinda pesa nyingi.


A composite image shows Wu Yongning, left, facing outward on the exterior of a wall high above the city skyline, holding on with just one hand from a ledge above ; and right, sitting on a steel girder which is projecting over the edge of a very tall building into the streetHaki miliki ya pichaWEIBO
Image captionMpanda majengo marefu afariki baada ya kuanguka China
Mpanda majengo marefu afariki baada ya kuanguka China Mpanda majengo marefu afariki baada ya kuanguka China Reviewed by RICH VOICE on Desemba 12, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...