PICHA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akimpongeza Mwenyekiti Mpya Wa UVCCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Kheri James, nje ya Ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma Desemba 11, 2017 (katikati) ni Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
PICHA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akimpongeza Mwenyekiti Mpya Wa UVCCM PICHA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akimpongeza Mwenyekiti Mpya Wa UVCCM Reviewed by RICH VOICE on Desemba 12, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...