Areruya Joseph ashinda shindano la Tour of Rwanda

Mwendeshaji baiskeli wa Rwanda Areruya Joseph ameshinda mashindano ya Tour of Rwanda.

Image captionMwendeshaji baiskeli wa Rwanda Areruya Joseph ameshinda mashindano ya Tour of Rwanda.
Mwendeshaji baiskeli wa Rwanda Areruya Joseph ameshinda mashindano ya Tour of Rwanda.
Areruya Joseph, 21, anayechezea timu ya Dimension Data ya Afrika Kusini ameibuka mshindi wa mashindano ya kimataifa ya mbio za baiskeli maarufu Tour Of Rwanda yaliyomalizika jana mjini Kigali.
Mashindano hayo yalikuwa ya kuzunguka sehemu 7 tofauti za nchi hiyo, umbali wa kilomita 821.
Arerura Joseph amemshinda mpinzani wake wa karibu Mueritrea Eyob Metkel akimzidi kwa sekunde 28.
Mwendeshaji baiskeli wa Rwanda Areruya Joseph ameshinda mashindano ya Tour of Rwanda.
Image captionMwendeshaji baiskeli wa Rwanda Areruya Joseph ameshinda mashindano ya Tour of Rwanda.
Wote wanachezea timu ya Dimension Data ya Afrika kusini.
Mashindano haya yalishirikisha waendeshaji baiskeli 73 kutoka timu 16 za mataifa mbali mbali duniani lakini wakamaliza waendesha baiskeli 43.
Areruya Joseph ashinda shindano la Tour of Rwanda Areruya Joseph ashinda shindano la Tour of Rwanda Reviewed by RICH VOICE on Novemba 20, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...