MANCHESTER CITY YAPATA USHINDI KIDUCHU; LIVERPOOL IKILAZIMISHWA SARE

Kocha Manchester City Pep Guardiola amesema hajali anakutana na nani hatua ya 16 bora baada ya kuongoza kundi F kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Feyenoord.

Alikuwa Raheem Sterling aliyefunga goli pekee la mchezo huo katika dakika ya 88, baada ya kugongeana vizuri na Ilkay Gundogan.
   Raheem Sterling akifunga goli pekee katika mchezo huo katika dakika za mwisho
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema hana tatizo na hulka za wachezaji wake dimbani baada ya Sevilla kutoka nyuma kufungwa magoli 3-0 na kutoa sare ya magoli 3-3 katila Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Katika mchezo huo Liverpool iliweza kutinga hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009, ilikuwa ya kwanza kufunga magoli kupitia kwa Roberto Firmino mawili Sadio Mane moja.
   Msenegal Sadio Mane akifunga goli la kichwa cha kuchupa kufuatia pasi ya Roberto Firmino

MANCHESTER CITY YAPATA USHINDI KIDUCHU; LIVERPOOL IKILAZIMISHWA SARE MANCHESTER CITY YAPATA USHINDI KIDUCHU; LIVERPOOL IKILAZIMISHWA SARE Reviewed by RICH VOICE on Novemba 22, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...