Wanamgambo 250 wa IS waliondoka Raqqa

Vikosi vya Iraq vinavyoungwa mkono na Marekani vilifanikiwa kuuteka mji wa Raqqa mwezi uliopita



Image captionVikosi vya Iraq vinavyoungwa mkono na Marekani vilifanikiwa kuuteka mji wa Raqqa mwezi uliopita

Uchunguzi uliofanywa na BBC nchini Syria umebaini kwamba wanamgambo 250 wa IS waliruhusiwa kuondoka katika mji wa Raqqa wakati ulipotekwa na wapiganaji wanaoungwa mkono na vikosi vya Marekani.
Wapiganaji hao walikuwa miongoni mwa watu elfu nne walioondoka katika mji huo, nyingi ya familia zikiwa za wapiganaji wa IS.
Inaaminika kuwa maelfu ya wapiganaji wa IS ambao sio wakaazi wa eneo hilo waliondoka pia.
Mji wa Raqqa ulishikiliwa na wapiganaji wa Iraq wanaoungwa mkono na vikosi vya Marekani mwezi uliopita huku baadhi ya wanamgambo wa IS wakidaiwa bado kuwemo katika mji huo.
Wanamgambo 250 wa IS waliondoka Raqqa Wanamgambo 250 wa IS waliondoka Raqqa Reviewed by RICH VOICE on Novemba 14, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...