''Lukaku alihitaji marufuku kwa kumpiga teke mwenzake''

Romelu Lukaku

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRomelu Lukaku
Mshambuliaji wa Manchester United Romelu Lukaku alifaa kupewa marufuku kwa kumpiga teke mlinzi wa Brighton Gaetan Bong, mchanganuzi wa maswala ya soka wa BBC Ian Wright amesema.
Kisa hicho kilitokea wakati klabu hiyo ilipopata ushindi wa 1-0 siku ya Jumamosi, lakini hakuonekana na refa Neil Swarbrick.
Jopo la shirikisho la soka nchini humo liliamua kwamba hafai kuchukuliwa hatua yoyote.
''Iwapo wataangalia tena, kwa nini wasione kwamba kilichofanyika kilikuwa makosa anafaa kuadhibiwa? Ndio'', Wright aliambia BBC Radio 5 live.
''Mara nilipoona nidhani wataingalia mara ya pili. Unafikiria ni kwa nini ameepuka''?
''Lukaku alihitaji marufuku kwa kumpiga teke mwenzake'' ''Lukaku alihitaji marufuku kwa kumpiga teke mwenzake'' Reviewed by RICH VOICE on Novemba 28, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...