CRISTIANO RONALDO AVUNJA REKODI REAL IKIFANYA KUFURU UEFA


Cristiano Ronaldo amevunja rekodi nyingine wakati mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Real Madrid ikiichakaza Apoel Nicosia kwa magoli 6-0 na kutinga hatua ya 16 bora.

Katika mchezo huo Ronaldo alifunga magoli mawili na kufikisha idadi ya magoli 18 katika Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka huu ikiwa ni idadi kubwa ya magoli kuwahikufikiwa.

Real Madrid wamekuwa na msimu mbovu, lakini jana waliutawala mchezo huo na kupata ushindi mkubwa ugenini.
     Karim Benzema akifunga goli baada ya kupatiwa pande na Cristiano Ronaldo
Karim Benzema na Cristiano Ronaldo wakiwa wamelala chini baada ya kugongana wakiwani mpira
CRISTIANO RONALDO AVUNJA REKODI REAL IKIFANYA KUFURU UEFA CRISTIANO RONALDO AVUNJA REKODI REAL IKIFANYA KUFURU UEFA Reviewed by RICH VOICE on Novemba 22, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...