Mlango wa ndege iliyokuwa angani waangukia nyumba India

The door weighed more than 20kgs

Haki miliki ya pichaTELANGANA POLICE
Image captionThe door weighed more than 20kgs
Familia moja nchini India imepigwa na mshangao baada ya mlango wa ndege kuangukia nyumba yao katika mji ulio kusini mwa India wa Hyderabad.
Mwanamume ambaye alikuwa akipaka paa la nyumba rangi aliponea kwa kuwa wakati huo alikuwa ameenda kupata chakula cha mchana kwa wakati kisa hicho kilitokea,
Polisi aliiambia BBC kuwa ndege hiyo ya kubeba abiria wanne ambayo ni ya kutoa mafunzo ilikuwa ikiruka chini kwa chini.
Aliongoza kuwa rabani na mwanafunzi wake wako salama na uchunguzi umenza kubaini vi vipi kisa hicho kilitokea.
Insepkta wa Polisi Karan Kumar Singh alisema kuwa ni kawaida kuona ndege zikiruka chini kwa chini eneo hilo.
Rubani na mwanafuzi wakae waliponea mwezi Septemba wakati ndege kama hiyo ilianguka eneo hio.
Mlango wa ndege iliyokuwa angani waangukia nyumba India Mlango wa ndege iliyokuwa angani waangukia nyumba India Reviewed by RICH VOICE on Novemba 01, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...