CAMEROON WATOSHANA NGUVU NA ZAMBIA WAKIKOSA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA

Mabingwa wa Afrika Cameroon wamelazisha sare ya magoli 2-2 dhidi ya Zambia katika mchezo wao wa mwisho wa kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia, ikiokolewa na Yaya Banana.

Timu zote mbili zilishuka dimbani zikidhamiria kumaliza kampeni zao kwa ushindi, licha ya kushindwa kufuzu fainali za kombe la dunia 2018 nchini Urusi.

Alikuwa Patson Daka aliyeifanya Zambia iongoze katika dakika ya 26, akinasa pande la Fashion Sakala na kutikisa nyavu, lakini dakika tano baadaye Andre Zambo Anguissa alisawazisha.
CAMEROON WATOSHANA NGUVU NA ZAMBIA WAKIKOSA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA CAMEROON WATOSHANA NGUVU NA ZAMBIA WAKIKOSA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA Reviewed by RICH VOICE on Novemba 13, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...