Wanariadha watano wa Urusi wafungiwa maisha

Miongoni mwa wanariadha waliofungiwa

Image captionMiongoni mwa wanariadha waliofungiwa
Wanariadha wengine watano wa Urusi wamefungiwa kushiriki michuano ya kimataifa ya Olimpiki kwa maisha yao yote baada ya kamati ya kimataifa ya Olimpiki kuwabaini kutumia dawa zilizokataliwa michezoni.
Sergei Chudinov, Aleksei Negodailo, Dmitry Trunenkov, Yana Romanova na Olga Vilukhina ndio waliokumbwa na adhabu hiyo.
IOC inasema kufungiwa huko kunatokana na kamati ya 2016 ya McLaren iliyoonyesha watumiaji wa dawa hizo.
Siku ya Jumatatu IOC ilitangaza adhabu hiyo na kuonya kuwa bado itaendelea kwa wale wote watakaojaribu kutumia dawa hizo.
Wanariadha watano wa Urusi wafungiwa maisha Wanariadha watano wa Urusi wafungiwa maisha Reviewed by RICH VOICE on Novemba 28, 2017 Rating: 5

Hakuna maoni

Chapisho Lililoangaziwa

Thursday, September 15, 2016 Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Septemba 15 ...